Categories
Nasaha za leo

KWA NINI WATU WA PEPONI HAWALALI NA WATU DUNIANI WANALALA?

Amesema Imamu Ibnu Uthaymin ALLAH amrehemu: [ Watu duniani wanalala kwa sababu ya mapungufu yao; kwa sababu wanahitajia kulala kwa ajili ya kupumzika kutokana na kuchoka na kutaabika kulikotangulia (mchana kutwa) , na wanalala ili kuandaa nguvu (mpya)kwa ajili ya kufanya kazi wakati ujao. Kwa kuwa watu wa peponi wana uhai kamili, si wenye kulala kama ambavyo zimepokelewa habari sahihi kuhusu hilo]

Imefanyiwa Tarjama kutoka SHARH AQIIDATUL WAASITIYYAH Cha Ibnu Uthaymin 1/167

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *