Categories
Nasaha za leo

VITU HIVI VIWILI HAVIKAI PAMOJA KAMWE !

Amesema Imamu Ibnul Qayyim ALLAH amrehemu: [Mapenzi ya kukipenda kitabu cha Allah na mapenzi ya mziki , katika moyo wa mja kamwe haviwezi kukusanyika]

Nimesema:

” Katika visivyoweza kukusanyika sehemu moja ni Mapenzi ya Qur’an na mapenzi ya mziki, kwa sababu ni vyenye kukinzana. Qur’an hupata malipo msikilizaji mfano wa malipo ya msomaji, na mziki hupata madhambi kwa kuusikiliza. Hivyo basi, madai ya mtu kuwa anaipenda Qur’an hayawezi kuwa ya kweli maadamu mziki bado una nafasi kwake “

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *