Categories
Nasaha za leo

JE, UNAIJUA HATARI YA KUWAPOTOSHA WATU?

[عن ابن عباس رضي الله عنهما أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال : [ لعنَ اللهُ مَنْ كَمَّهَ أعمى عنِ السبيل

Kutoka kwa Adullah ibn Abbaas ALLAAH amridhie, hakika Mtume wa Allah swallallaah alaihi wasallam amesema: [ Allaah amemlaani mwenye kumpoteza kipofu katika njia ya sawa]

Nimesema:

” Ni makosa kumpoteza njia anayehitaji msaada kwako, sawasawa awe kipofu au awe mgeni katika eneo husika. Je, itakuwaje hali ya atakayempotosha Muislamu katika njia ya haki na kumpeleka katika njia ya batili?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *