Categories
Nasaha za leo

JICHUNGE KATIKA MAZUNGUMZO YAKO


قال ابن تيمية رحمه الله تعالى: فمن اشتبه عليه الأمور فتوقف لئلا يتكلم بلا علم، أو لئلا يتكلم بكلام يضر ولا ينفع فقد أحسن، ومن علم الحق فبينه لمن يحتاج إليه وينتفع به فهو أحسن وأحسن

Amesema Ibnu Taymiyyah, Allah amrehemu: [ Yeyote ambaye atatatizwa na jambo fulani kisha akajizuia kulizungumza ili asizungumze pasina elimu au asizungumze maneno yenye kudhuru yasiyo na manufaa, hakika huyo amefanya vizuri. Na yeyote ambaye amefahamu haki akaibainisha kwa watu wenye kuhitajia na wenye kunufaika nayo, basi huyo amefanya vizuri sana.]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *