Categories
Nasaha za leo

MIONGONI MWA MAKOSA YA WANAWAKE WALIOOLEWA

Kuzembea kwa baadhi ya wanawake katika kufanya shughuli za nyumbani kama vile usafi wa nyumba na mavazi yao. Na baadhi yao hawatilii umuhimu suala la kujipamba kwa wavazi na manukato mazuri mbele ya waume zao kiasi ambacho hawajipambi isipokuwa wanapotoka nje ya nyumba zao hususani wanapoelekea kwa jamaa zao au katika sherehe mbalimbali kama vile harusi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *