عَنْ ابْن عمر- رضي الله عنه-
أنَّ رسولَ اللَّهِ ﷺ :
Kutoka kwa ibn Umar- Allah amridhie- kuwa mtume wa Allah – swala na salamu za Allah zimfikie-:
(كَانَ لَا يَنَامُ إِلَّا وَالسِّوَاكُ عِنْدَهُ، فَإِذَا اسْتَيْقَظَ بَدَأَ بِالسِّوَاكِ )
Alikuwa halali isipokuwa mswaki upo mbele yake (karibu naye) ,na pindi anapoamka tu (usingizini) huanza kupiga mswaki
حسنه الوادعي في
📚‘ الصحيح المسند – رقم : (٧٧٥)
Maelezo:
Katika zama zetu kuna watu hawalali isipokuwa simu zao zipo karibu nao na wanapoamka kitu cha kwanza ni kuwasha data na kuingia mtandaoni!
Tunamuomba Allah salama.