قال رسول الله ﷺ :
Amesema Mtume wa Allah- swala na salamu za Allah zimfikie-:
«من رد عن عِرضِ أخيه كان له حجابا من النار».
“Mwenye kuitetea heshima ya ndugu yake (basi tendo lake hilo) litakuwa ni kizuizi kwake kutokana na moto”
📚“ صحيح الجامع – ٦٢٦٣
Maelezo:
Kumtetea ndugu yako muislamu pindi anapokuwa hayupo na akawa anasengenywa na kusemwa vibaya kufanya hivyo ni katika sababu za kuepushwa na moto siku ya kiama .