Categories
Nasaha za leo

ADHABU YA KABURI

قال أبو أيُّوب الأنصاري – رضي الله عنه-:

Amesema Abuu Ayyuub Al-answaariy- Allah amridhie- :

 خَرَجَ النبيُّ صَلَّى اللهُ عليه وسلَّمَ وقدْ وجَبَتِ الشَّمْسُ، فَسَمِعَ صَوْتًا فَقالَ: يَهُودُ تُعَذَّبُ في قُبُورِهَا.

(Siku moja) Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie- alitoka (katika mji wa Madina) na hali ya kuwa jua limezama,basi akasikia sauti ,(Mtume) akasema:

[ Mayahudi wanaadhibiwa makaburini mwao ]

Maelezo:

“Hii ni alama katika alama za utume wake kwa sababu hakuna anayeweza kujua hili bila ya kufahamishwa na Allah , na vile vile ni dalili ya adhabu ya kaburi kwa makafiri na washirikina mpaka kiama. “

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *