قال الإمام الشافعي رحمه الله : Amesema Imaam Shaafiy Allah amrehem : ليس بعد أداء الفرائض،شيء أفضل من طلب العلم . Hakuna baada ya kutekeleza ibada za faradhi , kilichokua bora zaidi ya kutafuta elimu. Nimesema : Elimu ya kumtambua Allah na dini yake na Mtume wake swallah Allahu alaihi wasalam kuna nyakati inakua lazima […]
Author: ibnuthaymin
MIAMALA-YA-RIBAPakua hapa
TAHADHARI-DHIDI-YA-NJAMA-ZA-SHETANIPakua hapa
Categories
ADHABU ZA KABURINI
Adhabu-za-KaburiniPakua hapa
Categories
MAMBO SABA YA WAJIBU KWA KILA MUISLAMU
Mambo saba ya wajibu Pakua hapa
Mafuta-ya-nyoka-au-chuiPakua hapa
Categories
UKARIMU SI KWA KUMILIKI KIKUBWA
Amesema sheikh Muhammad bin ghaalib Al-umariy Allah amuhifadhi : لا يشترط لكي تكون كريما أن تكون غنيا. فقد تجد فقيرا معدما من أكرم الناس، بل ومن أسرعهم مبادرة لمساعدة المحتاجين، ومن أعفّهم عن السؤال. (( Hakuna shart ili kuwa mkarimu uwe tajiri , hakika unaweza kumkuta fakiri asiyekuwa na kitu lakini ni katika watu wakarimu […]
Categories
MSAADA WA SWALA
Msaada-wa-SwalaPakua hapa
Categories
MAVAZI YA WANAWAKE WA KIISLAMU
MAVAZI-KWA-WANAWAKEPakua hapa
Categories
UHAKIKA WA TAUHIDI
Ukamilifu-wa-TauhidiPakua hapa