Categories
Kalima fupi

KUISHUKURU NEEMA YA UISLAMU.

Categories
Nasaha za leo

JE, UNAIJUA HATARI YA KUWAPOTOSHA WATU?

[عن ابن عباس رضي الله عنهما أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال : [ لعنَ اللهُ مَنْ كَمَّهَ أعمى عنِ السبيل Kutoka kwa Adullah ibn Abbaas ALLAAH amridhie, hakika Mtume wa Allah swallallaah alaihi wasallam amesema: [ Allaah amemlaani mwenye kumpoteza kipofu katika njia ya sawa] Nimesema: ” Ni makosa kumpoteza njia anayehitaji […]

Categories
Nasaha za leo

VITU HIVI VIWILI HAVIKAI PAMOJA KAMWE !

Amesema Imamu Ibnul Qayyim ALLAH amrehemu: [Mapenzi ya kukipenda kitabu cha Allah na mapenzi ya mziki , katika moyo wa mja kamwe haviwezi kukusanyika] Nimesema: ” Katika visivyoweza kukusanyika sehemu moja ni Mapenzi ya Qur’an na mapenzi ya mziki, kwa sababu ni vyenye kukinzana. Qur’an hupata malipo msikilizaji mfano wa malipo ya msomaji, na mziki […]

Categories
Maswali ya Tauhidi

WATU WA TAUHIDI NI WATU GANI?

Aliulizwa Sheikh Ibnu Uthaymin Allah amrehemu swali lifuatalo: ” Nilisoma katika kitabu fulani kwamba watu wa Tauhidi (ikiwa wataingia motoni) hawatokalishwa motoni milele (bali watatolewa na kuingizwa peponi). Je ni akina nani hao watu wa Tauhidi? “ Akajibu ; أهل التوحيد الذين عبدوا الله تعالى وحده، الذين عبدوا الله تعالى وحده أي: قاموا بالعبادة مخلصين […]

Categories
Nasaha za leo

KWA NINI WATU WA PEPONI HAWALALI NA WATU DUNIANI WANALALA?

Amesema Imamu Ibnu Uthaymin ALLAH amrehemu: [ Watu duniani wanalala kwa sababu ya mapungufu yao; kwa sababu wanahitajia kulala kwa ajili ya kupumzika kutokana na kuchoka na kutaabika kulikotangulia (mchana kutwa) , na wanalala ili kuandaa nguvu (mpya)kwa ajili ya kufanya kazi wakati ujao. Kwa kuwa watu wa peponi wana uhai kamili, si wenye kulala […]

Categories
Nasaha za leo

CHUKUA MWONGOZO HUU LEO

Amesema Ibnu Abdi Albarry ALLAH amrehemu: [ Ilikuwa ikisemwa kwamba, mambo sita yakidharaulika (na watu wakayafanya) basi wafanyaji wasizilaumu isipokuwa nafsi zao:- (1) Mwenye kwenda katika meza ( mwaliko) ambao hakualikwa. (2) Mwenye kutafuta fadhila (kukirimiwa) na mtu bakhili (mchoyo). (3) Na mwenye kuingilia maongezi kati ya watu wawili pasina wao kumuhusisha. (4) Na mwenye […]

Categories
Taarifa

TANGAZO KUHUSU FURSA ADHIMU YA KUSOMA DINI

Uongozi wa Markaz Ibnu Uthaymin unawatangazia waislamu wote kuhusu uanzishwaji rasmi wa masomo ya taaluma ya dini katika mwaka huu wa msomo 1444 – 1445H sawa na 2023 – 2024M. Sambamba na matangazo kadha wa kadha yaliyotolewa kupitia njia mbalimbali za mawasiliano kuhusu fursa hii, hili ni tangazo la kuanza masomo yetu rasmi kwa vijana […]

Categories
Taarifa

Bishara njema kwa Waislamu

Categories
Radio

REDIO YA MARKAZ IBNU UTHAYMIN DODOMA

FUATILIA DARSA ZETU MOJA KWA MOJA TUNAPOKUWA HEWANI Your browser does not support the audio element.

Categories
Makala

SHAABAN MWEZI WA SWAUM

Haifichiki kwa mwenye akili kuwa dunia ni sehem ya maandalizi ya maisha ya akhera , na si pahala pa kudumu kwa kila chenye uhai Masiku yanakwenda na kukatika rasilimali ya kuchuma kwa ajili ya maisha ya akhera nayo ni umri , masiku yaliopita hubakia kama ndoto tu na masiku yajayo hubakia katika matarajio na muda […]