Author: ibnuthaymin
JIIPAMBE NA HILI
الفضيل بن عياض رحمه الله: Amesema Fushweyl Ibnu I’iyadh Allah amrehemu ”لم يتزيّن النّاس بشيء أفضل من الصّدق وطلب الحلال.” “Hawatajipamba watu na na kitu kilichobora zaidi kuliko ukweli na kutafuta halali” ——• 📚سير أعلام النّبلاء (8/ 426)
Ubeti-1 sheikh abuu Fat’hiya
الإبداع شيخ صالح ابن عثيمين
Taarifa ya kufunguliwa Chuo cha Tahifidhi
Mnatangaziwa Waislamu wote kuwepo chuo cha kuhifadhisha Tahfidhi
Amesema Sheykh Ibnu Uthaymeen Allah amrehemu: “Yoyote atakae muabudia Allah kinyume na kile alichokiekea Sheria Allah katika itiqadi au kauli au kitendo basi huyo ni mzushi.” 📚SHERHU RIYAADHWIS SWAALIHIINA,(2/238) Amesema Sheykhul islaamu Ibnu Taymiyyah Allah amrehemu “Hakika Allah humuinua mtu kwa kiasi ya kushikamana kwake na Sunna ya Mtume wa Allah sala na salamu ziwe […]
Fomu ya kujiunga na Markaz Ibn Uthaymin
ADHABU YA KABURI
قال أبو أيُّوب الأنصاري – رضي الله عنه-: Amesema Abuu Ayyuub Al-answaariy- Allah amridhie- : خَرَجَ النبيُّ صَلَّى اللهُ عليه وسلَّمَ وقدْ وجَبَتِ الشَّمْسُ، فَسَمِعَ صَوْتًا فَقالَ: يَهُودُ تُعَذَّبُ في قُبُورِهَا. (Siku moja) Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie- alitoka (katika mji wa Madina) na hali ya kuwa jua limezama,basi akasikia sauti ,(Mtume) akasema: […]