Categories
Khutba za Ijumaa

TABIA MBAYA INAVYOHARIBU MATENDO MEMA .

قال – صلى الله عليه وسلم-: Amesema -swala na salamu za Allah zimfikie-: وَ إِنَّ سُوءَ الخُلُقِ يُفْسِدُ العَمَلَ ، كما يُفْسِدُ الخَلُّ العَسَلَ. ” Na bila shaka tabia mbaya huyaharibu matendo (mema) kama vile siki inavyoharibu asali “. أخرجه الطبراني في ((المعجم الأوسط)) (٦٠٢٦) وغيره . Maelezo: Hii ni hadithi ndefu ambayo ndani yake […]

Categories
Mihadhara

UBORA WA KUTETEA HESHIMA YA MUISLAMU.

‏قال رسول الله ﷺ : Amesema Mtume wa Allah- swala na salamu za Allah zimfikie-: «من رد عن عِرضِ أخيه كان له حجابا من النار». “Mwenye kuitetea heshima ya ndugu yake (basi tendo lake hilo) litakuwa ni kizuizi kwake kutokana na moto” 📚“ صحيح الجامع – ٦٢٦٣ Maelezo: Kumtetea ndugu yako muislamu pindi anapokuwa hayupo […]

Categories
Kalima fupi

KATIKA SUNA ZILIZOHAMWA !

عَنْ ابْن عمر- رضي الله عنه-  أنَّ رسولَ اللَّهِ ﷺ : Kutoka kwa ibn Umar- Allah amridhie- kuwa mtume wa Allah – swala na salamu za Allah zimfikie-:  (كَانَ لَا يَنَامُ إِلَّا وَالسِّوَاكُ عِنْدَهُ،  فَإِذَا اسْتَيْقَظَ بَدَأَ بِالسِّوَاكِ ) Alikuwa halali isipokuwa mswaki upo mbele yake (karibu naye) ,na pindi anapoamka tu  (usingizini) huanza kupiga […]

Categories
Darsa

RIZIKI YAKO IPO PALE PALE.

قال رَسُــول اللَّهِ ﷺ Amesema Mtume wa Allah – swala na salamu za Allah zimfikie-:  إنَّ أحدڪـم لن يمــوتَ حتى يستكملَ رزقَه ، فلا تستبطِئُوا الرِّزقَ ، واتقــوا اللهَ أيها الناسُ ، وأَجمِلوا فـي الطَّلبِ ، خُذوا ما حلَّ ، ودَعوا ما حـَرُمَ . Hakika mmoja wenu  hatofariki mpaka akamilishe riziki yake, basi musiione kuchelewa […]

Categories
Makala

siku ya ijumaa

( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِن يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ ۚ ذَٰلِكُمْ خَيْرٌ لَّكُمْ إِن كُنتُمْ تَعْلَمُونَ ) الجمعة (9) Al-Jumu’a Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua.