Categories
Makala Nasaha za leo

QUR AN NI NURU

Amesema Mtume swallah Allahu alaihi wasalam : عليْكَ بِتِلاوةِ القُرْآن، فإنّهُ نورٌ لكَ في الأرضِ، وذُخرٌ لكَ في السّماء. Ni juu yako kulazimiana na kuisoma Quraan, hakika ni nuru kwako katika ardhi ( dunia ) na ni limbikizo kwako mbinguni ( akhera ) 📚صحيح الترغيب (1422) و‏قال الامام الشافعي – رحمه الله -: Na amesema […]

Categories
Makala

SHAABAN MWEZI WA SWAUM

Haifichiki kwa mwenye akili kuwa dunia ni sehem ya maandalizi ya maisha ya akhera , na si pahala pa kudumu kwa kila chenye uhai Masiku yanakwenda na kukatika rasilimali ya kuchuma kwa ajili ya maisha ya akhera nayo ni umri , masiku yaliopita hubakia kama ndoto tu na masiku yajayo hubakia katika matarajio na muda […]

Categories
Makala

siku ya ijumaa

( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِن يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ ۚ ذَٰلِكُمْ خَيْرٌ لَّكُمْ إِن كُنتُمْ تَعْلَمُونَ ) الجمعة (9) Al-Jumu’a Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua.