MUONGOZO Huu ni muongozo muhimu saana katika kunukuu khabari:- Si kila unalosikia husemwa. Amesema Mtume swallah Allah alaih wasallam:- كفى بالمرء كذبا أن يحدث بكل ما سمع (( Inamtosheleza Mtu kuwa muongo kwa kuhadithia kila anacho kisikia )) Na ikaja katika mapokezi mengine : (( Inamtosha Mtu kupata madhambi kwa kusema kila anacho kisikia )) […]
Category: Nasaha za leo
USIWE MSAADA KWA SHEYTWAAN
عن ابن مسعود -رضي الله- عنه قال: Kutoka kwa Ibn Mas’uud Allah amridhie amesema :- “إذا رأيتم الرجل منكم قارف ذنبا، فلا تدعوا الله عليه، ولا تسبوه، ولكن ادعوا الله أن يعافية” (( Pindi mtakapo muona ndugu yenu ameyaingia […]
MWEZI WA ALLAH MUHARAM
Bado tupo katika miezi mitukufu mitatu yenye kufuatana na huu ni mwezi wa muharam ambao umeegemezwa kwake kwa kuitwa شهر الله المحرم Mwezi wa Allah wa muharam Katika miezi hii mitukufu Allah subhaana wataala amesema :فَلا تَظْلِمُوا فِيْهِنَّ أَنْفُسَكُمْBasi msizidhulumu ndani yake nafsi zenu Amesema Ibnu Abaas Allah amridhie:فجعلهن حراماً وعظّم حرماتهن، وجعل الذنب فيهن […]
Nasaha
قال الشيخ صالح الفوزان -حفظه الله-:Amesema Sheikh swaaleh Alfawzaan Allah amhifadhi : عمر الإنسان أيام معدودة فما دمت معافا في بدنك وفي أمن واستقرار فسارع إلى الاشتغال بالطاعات.Umri wa mwanadamu ni masiku yenye kuhesabika basi kwa muda ambao umesalimika katika mwili wako , na upo katika amani , na utulivu basi fanya haraka kushughulika na […]