Category: Nasaha za leo
MIONGONI MWA NJAMA ZA SHETANI
FADHILA ZA DHIKRI
قال ابن مسعود رَضِيَ ٱللّٰهُ عَنْهُ: Amesema Abdullah bin Mas’uud Allah amridhie: « مادمت تذكر اللّه فأنت في صلاة ولو كنت في السوق ». ‘ Kwa muda ambao unamtaja Allah basi wewe upo katika swala hata kama utakua sokoni ‘ .
Kuna baadhi ya watu ambao wanaamini kwamba mkosi upo kwa watu au eneo, na wanadhani kwamba shari inaweza kuwapata kutoka katika maeneo hayo au watu hao moja kwa moja pasina hukumu ya Allah na makadirio yake. Na hii ndio imani ya mkosi ambayo Mtume swallallaahu alaihi wasallam ameikataza na akaeleza kuwa ni ushirikina. Kwa sababu […]
قال الإمام الشافعي رحمه الله : Amesema Imaam Shaafiy Allah amrehem : ليس بعد أداء الفرائض،شيء أفضل من طلب العلم . Hakuna baada ya kutekeleza ibada za faradhi , kilichokua bora zaidi ya kutafuta elimu. Nimesema : Elimu ya kumtambua Allah na dini yake na Mtume wake swallah Allahu alaihi wasalam kuna nyakati inakua lazima […]
ADHABU ZA KABURINI
UKARIMU SI KWA KUMILIKI KIKUBWA
Amesema sheikh Muhammad bin ghaalib Al-umariy Allah amuhifadhi : لا يشترط لكي تكون كريما أن تكون غنيا. فقد تجد فقيرا معدما من أكرم الناس، بل ومن أسرعهم مبادرة لمساعدة المحتاجين، ومن أعفّهم عن السؤال. (( Hakuna shart ili kuwa mkarimu uwe tajiri , hakika unaweza kumkuta fakiri asiyekuwa na kitu lakini ni katika watu wakarimu […]