Categories
Nasaha za leo

FADHILA ZA KUWAPA NAFASI MAFUKARA

Amesema Mtume swallah Allahu alaihi wasalam: ابغوني ضُعفائِكم، فإنما ترزقون وتنصرون بضُعفائِكم.. (( Nitafutieni wanyonge wenu , kwa hakika mnaruzukiwa na mnapewa ushindi kwa sababu ya wanyonge miongoni mwenu.)) وقال ابن معاذ رحمه الله : Na akasema Ibnu Mu’adhi Allah amrehem: : حبُّك الفقراء مِن أخلاق المرسلين، وإيثارك مجالستهم مِن علامات الصَّالحين، وفرارك منهم مِن […]

Categories
Nasaha za leo

HII NDIO NEEMA KUBWA

Amesema Mtume swallah Allah ‘alaihi wasallam : – مَن يُردِ اللَّهُ بهِ خَيرًا يُفقِّهُّ في الدِّينِ. [ Allah akimtakia Mja wake kheri humfahamisha katika dini ]‏ قال الشيخ عبد اللطيف بن عبد الرحمن آل الشيخ رحمه الله – Amesema sheikh Abdul-latwiif bin Abdurrahman A’al sheikh Allah amrehemu : أعظم منّة الله على مَن رزقه الله […]

Categories
Nasaha za leo

MIONGONI MWA MAKOSA YA WANAWAKE WALIOOLEWA

Kuzembea kwa baadhi ya wanawake katika kufanya shughuli za nyumbani kama vile usafi wa nyumba na mavazi yao. Na baadhi yao hawatilii umuhimu suala la kujipamba kwa wavazi na manukato mazuri mbele ya waume zao kiasi ambacho hawajipambi isipokuwa wanapotoka nje ya nyumba zao hususani wanapoelekea kwa jamaa zao au katika sherehe mbalimbali kama vile […]

Categories
Nasaha za leo

WEMA WALIOTANGULIA WALIVYOISHI NA WATUMISHI WAO

دخل رجل على سلمان الفارسي رضي الله عنه وهو يعجن! فقال: ما هذا يا أبا عبدالله؟ Aliingia bwana mmoja kwa Sulaymaan Al-faarisiy Allah amridhie akamkuta akiwa anakanda unga , akasema : Kipi hiki ewe baba Abdullah ( kwa kipi unafanya kazi mwenyewe ) ? قال: بعثنا الخادم في عمل فكرهنا أن نجمع عليه عملين Akasema […]

Categories
Nasaha za leo

MIONGONI MWA USIA WA MTUME SWALLAH ALLAH ALAIHI WASALLAM

Siku moja Mtume swallah Allah alaih wasalam alisema : من يأخذ عني هؤلاء الكلمات فيعمل بهن، أو يعلِّم من يعمل بهن؟  Ni nani atakae chukua kwangu haya maneno ayafanyie kazi, au amfundishe atakae yafanyia kazi ? قال أبو هريرة: قلت: أنا يا رسول الله، قال:  Akasema Abu hurayra Allah amridhie : “Mimi ewe Mtume wa Allah” […]

Categories
Nasaha za leo

KUFANYA JITIHADA KATIKA NJIA YA ALLAH

قَالَ ابن القيم رحمه الله تعالى عن قوله تعالى: (( وَالَّذِينَ جَاهَدُوا فِينَا لَنَهْدِيَنَّهُمْ سُبُلَنَا)), علق سُبْحَانَهُ الْهِدَايَة بِالْجِهَادِ فأكمل النَّاس هِدَايَة أعظمهم جهادا وأفرض الْجِهَاد جِهَاد النَّفس وَجِهَاد الْهوى وَجِهَاد الشَّيْطَان وَجِهَاد الدُّنْيَا فَمن جَاهد هَذِه الْأَرْبَعَة فِي الله هداه الله سبل رِضَاهُ الموصلة إِلَى جنته Amesema Ibnu Alqayyim Allah amrehemu, kuhusu kauli ya […]

Categories
Nasaha za leo

UHALISIA WA NEEMA NA TABU ZA DUNIANI

عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ رضي الله عنه قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللّهِ صلى الله عليه وسلم : ” يُؤْتَى بِأَنْعَمِ أَهْلِ الدُّنْيَا ، مِنْ أَهْلِ النَّارِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ ، فَيُصْبَغُ فِي النَّارِ صَبْغَةً : ثُمَّ يُقَالُ : يَا ابْنَ آدَمَ هَلْ رَأَيْتَ خَيْراً قَطُّ ؟ هَلْ مَرَّ بِكَ نَعِيمٌ قَطُّ ؟ فَيَقُولُ : لاَ ، […]

Categories
Nasaha za leo

JICHUNGE KATIKA MAZUNGUMZO YAKO

قال ابن تيمية رحمه الله تعالى: فمن اشتبه عليه الأمور فتوقف لئلا يتكلم بلا علم، أو لئلا يتكلم بكلام يضر ولا ينفع فقد أحسن، ومن علم الحق فبينه لمن يحتاج إليه وينتفع به فهو أحسن وأحسن Amesema Ibnu Taymiyyah, Allah amrehemu: [ Yeyote ambaye atatatizwa na jambo fulani kisha akajizuia kulizungumza ili asizungumze pasina elimu […]

Categories
Nasaha za leo

NEEMA INASHUKURIWA KWA MANENO NA VITENDO

يستحبّ تجديد الشّكر عند تجدّد النّعم لفظاً بالحمد والثّناء ، ويكون الشّكر على ذلك أيضاً بفعل قربة من القرب ” Inapendelewa kufanya upya shukrani kwa matamko ya kumhimidi na kumsifu Allah pindi inapopatikana neema mpya juu yako, na pia shukrani inakuwa kwa kufanya jambo jema katika mema ya kujisogeza kwa Allah”

Categories
Nasaha za leo

MIONGONI MWA SABABU ZA KUPATA ZIADA YA ELIMU YA DINI

قال الشيخ الفوزان حفظه الله تعالى: ولا تنس يا أخي أن العلم ينمو ويزكو مع العمل فإذا عملت بما علمت ; زادك الله علما . Amesema Sheikh Fauzaan, ALLAH amuhifadhi: (( Na wala usisahau ewe ndugu yangu, hakika elimu ya dini inakua na inaongezeka kwa kufanyia kazi, pindi utakapofanyia kazi kile ambacho unakijua, ALLAH anakuongezea […]