Categories
Nasaha za leo

DUA HII HUKUBALIKA

عن أم الدرداء رضي الله عنها مرفوعاً: « دعوة المرء المسلم لأخيه بظَهْرِ الغيب مستجابة، عند رأسه مَلَك مُوَكَّلٌ كلما دعا لأخيه بخير قال الملك المُوَكَّلُ به: آمين، ولك بمِثْلٍ Kutoka kwa Ummu Dardaa Allah amridhie, kutoka kwa Mtume swallaallaahu alaihi wasallam amesema: (( Dua ya muislamu kumuombea Muislamu mwingine hali ya kuwa hayupo pamoja […]

Categories
Nasaha za leo

MADHAMBI NI KIZUIZI CHA KUFANYA WEMA

قال ابن القيم رحمه الله تعالى عن آثار الذنوب: (( فينقطع عليه بالذنب طاعات كثيرة، كل واحدة منها خير له من الدنيا وما عليها. وهذا كرجل أكل أكلةً أوجَبَتْ له مرضة طويلةً منعته من عدة أكَلات أطيب منه Amesema Ibnu Alqayyim, Allah amrehemu kuhusiana na athari mbaya ya Madhambi: [[ Matendo mema yaliyo mengi mno […]

Categories
Nasaha za leo

WEMA WAKO USIWE SABABU YA KUDHARAU MADHAMBI

عن أبي أيوب الأنصاري رضي الله عنه قال: “إن الرجل ليعمل الحسنة، فيثق بها وينسى المحقرات، فيلقى الله وقد أحاطت به، وإن الرجل ليعمل السيئة فلا يزال مشفقًا حتى يلقى الله آمنًا Kutoka kwa Abuu Ayyuub Al-answariy , Allah amridhie, amesema: (( Hakika mtu anaweza kutenda wema kisha akajiaminisha kwa huo wema na akasahau (na […]

Categories
Nasaha za leo

USILIMBIKIZE MADHAMBI NDUGU YANGU !

قيل لحُذَيْفَةَ بن اليمان رَضِيَ اللَّهُ عَنْه: أفِي يَوْمٍ وَاحِدٍ تَرَكَتْ بَنُو إِسْرَائِيلَ دِينَهُمْ؟ قَالَ: لَا، وَلَكِنَّهُمْ كَانُوا إِذَا أُمِرُوا بِشَيْءٍ تَرَكُوهُ، وَإِذَا نُهُوا عَنْ شَيْءٍ رَكِبُوهُ، حَتَّى انْسَلَخُوا مِنْ دِينِهِمْ كَمَا يَنْسَلِخُ الرَّجُلُ مِنْ قَمِيصِهِ Aliulizwa Hudhaifah Ibn Alyamaan Allah amridhie; Je wana wa Israeli waliiacha sheria ya dini yao ndani ya siku moja […]

Categories
Nasaha za leo

KWA DHIKRI HII UTAKUWA UMEMSHUKURU MOLA WAKO MLEZI

مَن قالَ حينَ يُصبِحُ: اللَّهمَّ ما أصبحَ بي من نِعمةٍ أو بأحدٍ من خلقِك فمنكَ وحدَك، لا شريكَ لَك، فلَك الحمدُ، ولَك الشُّكرُ، فقد أدَّى شُكرَ يومِه، ومن قالَ مثلَ ذلِك حينَ يُمسي، فقد أدَّى شُكرَ ليلتِه Amesema Mtume swallallaahu alaihi wasallam : { Yeyote atakayesema pindi anapopambazukiwa na asubuhi; ” Ewe Allah sikuamka mimi […]

Categories
Nasaha za leo

JE, UNAIJUA HATARI YA KUWAPOTOSHA WATU?

[عن ابن عباس رضي الله عنهما أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال : [ لعنَ اللهُ مَنْ كَمَّهَ أعمى عنِ السبيل Kutoka kwa Adullah ibn Abbaas ALLAAH amridhie, hakika Mtume wa Allah swallallaah alaihi wasallam amesema: [ Allaah amemlaani mwenye kumpoteza kipofu katika njia ya sawa] Nimesema: ” Ni makosa kumpoteza njia anayehitaji […]

Categories
Nasaha za leo

VITU HIVI VIWILI HAVIKAI PAMOJA KAMWE !

Amesema Imamu Ibnul Qayyim ALLAH amrehemu: [Mapenzi ya kukipenda kitabu cha Allah na mapenzi ya mziki , katika moyo wa mja kamwe haviwezi kukusanyika] Nimesema: ” Katika visivyoweza kukusanyika sehemu moja ni Mapenzi ya Qur’an na mapenzi ya mziki, kwa sababu ni vyenye kukinzana. Qur’an hupata malipo msikilizaji mfano wa malipo ya msomaji, na mziki […]

Categories
Nasaha za leo

KWA NINI WATU WA PEPONI HAWALALI NA WATU DUNIANI WANALALA?

Amesema Imamu Ibnu Uthaymin ALLAH amrehemu: [ Watu duniani wanalala kwa sababu ya mapungufu yao; kwa sababu wanahitajia kulala kwa ajili ya kupumzika kutokana na kuchoka na kutaabika kulikotangulia (mchana kutwa) , na wanalala ili kuandaa nguvu (mpya)kwa ajili ya kufanya kazi wakati ujao. Kwa kuwa watu wa peponi wana uhai kamili, si wenye kulala […]

Categories
Nasaha za leo

CHUKUA MWONGOZO HUU LEO

Amesema Ibnu Abdi Albarry ALLAH amrehemu: [ Ilikuwa ikisemwa kwamba, mambo sita yakidharaulika (na watu wakayafanya) basi wafanyaji wasizilaumu isipokuwa nafsi zao:- (1) Mwenye kwenda katika meza ( mwaliko) ambao hakualikwa. (2) Mwenye kutafuta fadhila (kukirimiwa) na mtu bakhili (mchoyo). (3) Na mwenye kuingilia maongezi kati ya watu wawili pasina wao kumuhusisha. (4) Na mwenye […]

Categories
Makala Nasaha za leo

QUR AN NI NURU

Amesema Mtume swallah Allahu alaihi wasalam : عليْكَ بِتِلاوةِ القُرْآن، فإنّهُ نورٌ لكَ في الأرضِ، وذُخرٌ لكَ في السّماء. Ni juu yako kulazimiana na kuisoma Quraan, hakika ni nuru kwako katika ardhi ( dunia ) na ni limbikizo kwako mbinguni ( akhera ) 📚صحيح الترغيب (1422) و‏قال الامام الشافعي – رحمه الله -: Na amesema […]