Categories
Nasaha za leo

JIIPAMBE NA HILI

الفضيل بن عياض رحمه الله: Amesema Fushweyl Ibnu I’iyadh Allah amrehemu ‏”لم يتزيّن النّاس بشيء أفضل من الصّدق وطلب الحلال.” “Hawatajipamba watu na na kitu kilichobora zaidi kuliko ukweli na kutafuta halali” ‏——• ‏📚سير أعلام النّبلاء (8/ 426)

Categories
Nasaha za leo

Amesema Sheykh Ibnu Uthaymeen Allah amrehemu:

Amesema Sheykh Ibnu Uthaymeen Allah amrehemu: “Yoyote atakae muabudia Allah kinyume na kile alichokiekea Sheria Allah katika itiqadi au kauli au kitendo basi huyo ni mzushi.” 📚SHERHU RIYAADHWIS SWAALIHIINA,(2/238) Amesema Sheykhul islaamu Ibnu Taymiyyah Allah amrehemu “Hakika Allah humuinua mtu kwa kiasi ya  kushikamana kwake na Sunna ya Mtume wa Allah sala na salamu ziwe […]

Categories
Nasaha za leo

ADHABU YA KABURI

قال أبو أيُّوب الأنصاري – رضي الله عنه-: Amesema Abuu Ayyuub Al-answaariy- Allah amridhie- :  خَرَجَ النبيُّ صَلَّى اللهُ عليه وسلَّمَ وقدْ وجَبَتِ الشَّمْسُ، فَسَمِعَ صَوْتًا فَقالَ: يَهُودُ تُعَذَّبُ في قُبُورِهَا. (Siku moja) Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie- alitoka (katika mji wa Madina) na hali ya kuwa jua limezama,basi akasikia sauti ,(Mtume) akasema: […]