Categories
Nasaha za leo

DUA HII HUKUBALIKA

عن أم الدرداء رضي الله عنها مرفوعاً: « دعوة المرء المسلم لأخيه بظَهْرِ الغيب مستجابة، عند رأسه مَلَك مُوَكَّلٌ كلما دعا لأخيه بخير قال الملك المُوَكَّلُ به: آمين، ولك بمِثْلٍ

Kutoka kwa Ummu Dardaa Allah amridhie, kutoka kwa Mtume swallaallaahu alaihi wasallam amesema: (( Dua ya muislamu kumuombea Muislamu mwingine hali ya kuwa hayupo pamoja naye hujibiwa. Kuna malaika maalumu juu ya kichwa chake amewekwa kwa kazi maalumu, kila mara Muislamu atakapomuombea dua njema Muislamu mwenzake asiyekuwepo pamoja naye malaika huyo husema ‘ Aamin, nawe pia upate mfano wake’.))

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *