Categories
Khutba za Ijumaa

TABIA MBAYA INAVYOHARIBU MATENDO MEMA .

قال – صلى الله عليه وسلم-:

Amesema -swala na salamu za Allah zimfikie-:

وَ إِنَّ سُوءَ الخُلُقِ يُفْسِدُ العَمَلَ ، كما يُفْسِدُ الخَلُّ العَسَلَ.

” Na bila shaka tabia mbaya huyaharibu matendo (mema) kama vile siki inavyoharibu asali “.

أخرجه الطبراني في ((المعجم الأوسط)) (٦٠٢٦) وغيره .

Maelezo:

Hii ni hadithi ndefu ambayo ndani yake yametajwa matendo mema kisha mwisho Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie- akausia kujiepusha na tabia mbaya kwa sababu inaharibu matendo mema na kupoteza thawabu kama inavyoharibika asali inapowekwa siki /ndimu .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *