Categories
Nasaha za leo

USILIMBIKIZE MADHAMBI NDUGU YANGU !

قيل لحُذَيْفَةَ بن اليمان رَضِيَ اللَّهُ عَنْه: أفِي يَوْمٍ وَاحِدٍ تَرَكَتْ بَنُو إِسْرَائِيلَ دِينَهُمْ؟ قَالَ: لَا، وَلَكِنَّهُمْ كَانُوا إِذَا أُمِرُوا بِشَيْءٍ تَرَكُوهُ، وَإِذَا نُهُوا عَنْ شَيْءٍ رَكِبُوهُ، حَتَّى انْسَلَخُوا مِنْ دِينِهِمْ كَمَا يَنْسَلِخُ الرَّجُلُ مِنْ قَمِيصِهِ


Aliulizwa Hudhaifah Ibn Alyamaan Allah amridhie; Je wana wa Israeli waliiacha sheria ya dini yao ndani ya siku moja (kwa mkupuo)? Akajibu ; ” Hapana, bali wao walikuwa wanapoamrishwa jambo (jema) wanaliacha, na wanapokatazwa jambo (ovu) wanalifanya, (kidogo kidogo) mpaka wakatoka katika dini yao kama vile mtu anavyojivua kanzu yake (aliyoivaa)”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *